Maoni ya mkenya …

Posted by Group Kenya on Tuesday, October 11, 2016 at 1:51 pm

Mimi naona kazi ya polisi ni kuibia to wanachi, they don’t care about our well being as Kenyan citizens, mitungi, naona better mshahara yao ipunguzwe.

Mimi naona kanjo askaris watolewe, they just kill and beat women for no reason, we should have a way to solve hawkers’ issues.

Mimi naona hii body inajiita NTSA ni branch ingine useless ya polisi, they are just here to rob kenyans by taking bribes, tunavumilia sana.

Mimi naona kama serikali ingejitolea kupeana rasli mali kila mtu kenya angekua na stima, maji na pia barabara, but ni bure kabisa, but tukienda binguni hakuna cha kura, ni kudance tu na YESU.

Mimi naona project ya laptop is one of the fake project that should be scraped from the jubilee manifesto, how can you buy such gadgets when there are no teachers and class rooms?

Mimi naona better niendee Mboga na ovacado nikule nilale Because everyman for himself, God for us all.

Naona Nirudi baadae na staki ujinga

Share: Twitter Facebook Google+

Leave a Reply

#Advice, Humour, Jokes, Kenyan

NEXT: »

PREV: «

  • RECENT ARTICLES ON GROUP KENYA