HUMOUR: Ukiuliza Wahindi wakamilishe methali, utajua hata wao hawapendi ujinga

Posted by Group Kenya on Friday, October 21, 2016 at 3:34 pm

launging-indian-humour

1. Nyani haoni:- valise miwani.
2. Debe tupu :- weka dengu.
3. Maskini akipata :- itaacha iba jumbani.
4. Penye kuku wengi :- Chinja bili au tatu.
5. Asiyesikia la mkuu :- Peleka yeye polisi.
6. Penye wengi :- iko kutano ya JUBILEE.
7. Penye fujo :- hapo iko CORD.
8. Bandu bandu? :- Baba yake Somji iko Bombay.
9. Simba mwenda pole :- Huyo kama hapana gonjwa iko matege.
10. Chovya chovya :- mwisho yake tapata mimba.
11. Mficha uchi :- Bado janyoa huyo!
12. Ukitaka cha mvunguni:- Nainua tanda.

Hata Wahindi pia hawapendi ujinga.

Share: Twitter Facebook Google+

Leave a Reply

#Entertainment, Humour, Jokes, Ujinga

NEXT: »

PREV: «

  • RECENT ARTICLES ON GROUP KENYA