HUMOUR: Description ya Wife Material

Posted by Group Kenya on Friday, October 21, 2016 at 4:00 pm

– Wife material ni Yule dem anaeza pigwa picha kwa shamba sio hizi mitungi za guarana na nguo nkama ako uchi, we may feel prestigiuos hanging out with you but ikifika ni kuoa tutaenda ocha.

– Wife material ni dem jealous, how can you see me with other women and you ain’t jealous? Unless you don’t love me, mnaskia?

– Wife material ni futuristic, she should see 10 years to come and not just weekends, mnaskia wale wa kusema ni Friday kujienjoy?

– Wife material ni dem atleast ako na utu, sio hizi manugu zinaabort watoto na walikua ready kunyanyuliwa bila kartasi ,ama siku hizi condom si affordable? Tebu mniambie chagau hizi.

– Wife material ni mtu ako na respect, sio nikikupeleka home unaongelesha mum bila heshima, ukibonga na mum lazma uweke simu kwa mkoba na ikue silent ndio uskie instructions za mum, sawa?

– Wife material ni dem ako smart, hata kama uko na bra mbili, moja ya yellow na ingine ya indigo lazma zingare, been smart sio lazma sio lazma kujibleach.

Nimeenda kukojoa nakam, ongeeni bila heshima ndio mtanijua

Share: Twitter Facebook Google+

Leave a Reply

#Bangi, Entertainment, Jokes

NEXT: »

PREV: «

  • RECENT ARTICLES ON GROUP KENYA